30 May 2012

KANGAROO WOMEN EMPOWERMENT ASSOCIATE


                        MGENI RASMI MAMA RITA MLAKI

BI. JOYCE KIRIA AKIWASALIMIA WAGENI


BI.ANGELA BONDO AKIWASALIMIA WAGENI


BI. JOYCE KIRIA AKITOA SPEECH


BI.ANGELA BONDO AKIWAELEZAAA


WANA KWEA WAKIRINGA NA CAKE YAO


WAGENI RASMI WAKIBURUDIKA


MWENYEKITI WA KWEA AKIKABIDHI ZAWADI KWA MMOJA WA WAKINA MAMA WALIOFANIKIWA BAADA YA KUPATA MATATIZO MENGI KIMAISHA.


TREASURER WA KWEA MY BEAUTIFUL INTELLIGENT YOUNG SISTER MRS.DOREEN YOEN MIOMBO, AKA DOREEN ONASSIS AKIKABIDHI ZAWADI KWA MAMA ALIYEWEZA KUFANIKIWA KIMASIHA BAADA YA MAPAMBANO MAZITO. (LOVE YOU SANA MAMA!)


WANA KWEA WAKIJIMWAGA NA MSOSI


CAKE YA KWEA, MAMBO YA LADIES TALK! NDIO MAANA YAKE! ULIKUWA USIKU WA LADIES ONLY JIJINI MWANZA (ROCK CITY)


MAMA RITA MLAKI AKIKATA CAKE


WANA KWEA WAKIJIMWAGA, WALIPENDEZAJEE!



WAGENI WAALIKWA WAKIJIMWAGA NA MSOSI WAKUTOSHA


BI. DADA KUTOKA NAMIBIA AKIWAFANYIA MAMBO YA BELLY DANCING!


AHSANTE MAMAAA!


KWEA : NI GROUP YA YOUNG WOMEN  WA MWANZA WALIOAMUA KUJIUNGA KWA AJILI YA KUSAIDIA KULETA ELIMU KWA WANAWAKE KATIKA KUPAMBANA NA MFUMO DUME NA KUSAIDIANA KATIKA KUFANIKISHA MAENDELEO YAO. HONGERENI SANA WAPENDWA!

28 May 2012

MILA NA DESTURI ZETU




Kwenda kijijini raha sana, hali ya hewa safiii, nyama choma tamuuu na ya uhakika, na ile pombe ya asili, wacha kabisaaa! Hamna kilicho chakachuliwa hapoooo! It's just sad kuona vijana wengi ambavyo tunasahau mila zetu au hatuzijui kabisaaa! Kisa maisha ya mjini. Vizazi vijazvyo vitajifunza nini au kurithi nini?

22 May 2012

LOOKING FABULOUS

HOW TO WEAR IT










HOW TO DRESS CURVY BODIES


HOW TO DRESS SLIM BODIES

DOCTOR'S BAG






CHECK OUT THE NEW FASHION TREND - DOCTOR'S BAG

PUTTING ON BRIGHT COLOURS





"FAKE MALARIA DRUGS"



Third of malaria drugs 'are fake'

By Michelle Roberts
A third of malaria drugs used around the world to stem the spread of the disease are counterfeit, data suggests.
Researchers who looked at 1,500 samples of seven malaria drugs from seven countries in South East Asia say poor-quality and fake tablets are causing drug resistance and treatment failure.
Data from 21 countries in sub-Saharan Africa including over 2,500 drug samples showed similar results.
Experts say the research is a "wake-up call".

Kinachosikitisha ni kuwa huku kwetu Africa ndio sehemu ya majaribio ya kila kitu. Basi tutapewa hizi fake drugs mpaka TUKOMEE! I'm just hoping viongozi wetu wawe makini kwenye hili.


TRAGIC DEATH


Beautiful Emily Longley, she was a model


Emily akiwa na boyfriend wake aliyemuua kwa wivu


Wazazi wa boyfriend wake


Picha iliyomfanya boyfriend afupishe maisha yake at only 17 years. Akiwa ame- pose na "cheeky waiters"


Wealthy jeweller’s son Elliot Turner blew his top when he saw the modelling assignment shots of 17-year-old Emily.
Incensed Turner, yesterday found guilty of her murder, told friends the snaps were “pervy” and “made her look like a whore”.
He added: “I will kill her. I will go to prison and still be a millionaire when I come out.”
Turner, 20, suspected Emily was seeing other men behind his back — and the pictures of her with the semi-naked waiters convinced him he was right.
He told a friend of Emily’s who organised the photo session: “Stop encouraging Emily to do these shoots, it’s unacceptable. I don’t want Emily going out with pervy lads or my enemies because I will f****** kill them.”
Source: BBC

Angejua, angemkimbia huyo jamaa kama ukoma! Hii inaweza mtokea yeyote tuu. Wivu wa hivi ni mbaya mnooo!

A VERY CONTROVESIAL PAINTING



The BBC's Milton Nkosi reports from the Goodman Gallery in Johannesburg
A controversial painting showing South Africa's President Jacob Zuma with his genitals hanging out has been vandalised in an art gallery.
The BBC's Andrew Harding at the gallery in Johannesburg said two men covered the art work in black and red paint
It comes as the governing ANC was asking the High Court to force the Goodman Gallery to remove the painting.
The $14,000 (£9,000) 1.85m-high Soviet-style, red black and yellow acrylic painting had already been sold

Called The Spear, the painting is by Brett Murray, who is known for his political and provocative work.
"The portrait depicts me in a manner that suggests I am a philanderer, a womaniser and one with no respect” Jacob Zuma.


mmmmh! Huyu painter ni KIBOKO! Hao wabibi wako kama walitaka kuanguka!

21 May 2012

CAR JAM - DAR


SASA WAKATI UNARUDI TOKA MJINI, UKICHELEWA TUUU UKATOKA HUKO KUANZIA SAA KUMI JIONI, UNALOOO!

INGAWA KUFA KUFAANA, KAKA ZETU WAMACHINGA NDIO NJIA RAISI KWAO KUJIPATIA KIPATO CHAP! CHAP!  HAPO HAKUNA CHA MKOPO, NI MAMBO YA CASH TU UNACHUKUA CHAKO.

DAR ES SALAAM CITY




WAS IN TOWN LEO, ( ONE OF MY WORST PLACES IN DAR). KILA MARA NI KIJA HUKU ( MIEZI INAWEZA PITA BILA KUFIKA) NAJIULIZA HIVI WALIOAMUA OFISI ZOTE ZIWE HAPA SEHEMU MMOJA WALIKUWA WANAFIKIRIA NINI HASA MIAKA 30 NA ZAIDI BAADAE? KAMA UNA GARI UTAKOMA HASWAA PARKING, NI MAMBO YA KUVIZIA SEHEMU YA KULIACHA. BARABARA ZIMEKUWA NDOGO KWASABABU YA MSONGAMANO WA PARKINGS.