30 April 2012

Rape in South Africa
(Source Al Jazeera)

Currently there have been news on girls being raped, especially
Lesbians in S.Africa. Kwa kweli inatia huruma, maana ilikuwa inaelezwa kuwa girls are more likely to be raped in streets of S. Africa than to be educated. Can you imagine? Na lesbians kuwa raped ili kukumbushwa kuwa wao ni wanawake.
Je kama Tanzanian children and youth tunaliangaliaje au kufikiria vipi hili swala hata linapotokea hapa kwetu na kwenye mitaa yetu? Na hii si kwa watoto wa kike tu, hata kwa watoto wa kiume?

27 April 2012

FASHION

It's the way of behaving, dressing which is popular at a certain time. It is not only the style and design of clothes, but also a way of doing something.

Tukiangalia tangu enzi za mababu na mababu, kulikuwa na fashion na style, ya kuvaa, kula, na kuishi kwa ujumla. Wengine walikuwa wananyoa nywele, na wengine walifuga nywele ndefu tu, kuna wakati walivaa ngozi, na nyakati zingine kujichora mwili mzima depending on culture na jamii fulani.

Kwahiyo fashion haijaanza leo, it is only that nowadays it is made more visible, people can discuss it more.

Je wewe wajua nini about fashion?

25 April 2012