29 September 2012

MY COUSIN'S WEDDING


TULIPENDEZAJE SASA? ACHA TUUU!





KWA UZURI TU SHOGA YANGU, UMEBARIKIWA!!! YOU WERE A NATURAL PRINCESS


YES LOVE IS A BEAUTIFUL THING THAT GOD GAVE US FOR FREE!!! BLESS!!!!

18 September 2012

MY BEAUTIFUL COUSIN KITCHEN PARTY


BASI NIMEFIKA TU NA KUPAMBANA NA KITCHEN PARTY YA COUSIN WANGU, AS HER MATRON.


ALIPENDEZAJE SASAAA?


MWANAMKE JICHOOO! AINT SHE JUST SOOO BEAUTIFUL? NAKUOMBEA HERI NA BARAKA ZOTE COUSIN, MUNGU AKAKUTANGULIE KATIKA MAISHA YAKO UTAKAYOANZA SOON NA MUME WAKO MPENZI.

17 September 2012

MESSAGE KWA WATEJA WANGU WAPENDWA!




HELLO WAPENDWA WATEJA WA CODE:MILABE,
POLENI KWA UKIMYA!!! NILISAFIRI KWA AJILI YA KULETA MALI MPYA. KAMA MNAVYOONA NYUMA YANGU, NA KAMA KAWAIDA YANGU NIMELETA VITU VICHACHE TU, FIRST COME FIRST SERVED.
SOOOON KUTAKUWA TENA NA MAMBO YA UKWELI. NITAWAJULISHA VERY VERY SOOON! OTHERWISE KARIBUNI SANA DUKA LITAKUWA OPEN FROM TOMORROW.


WITH MY MUM, MY BUSINESS PATNER AND MY BEST FRIEND. LOVE YOU MAMA!


ME, MUM, AND MY BABY BROTHER. WAS GREAT FUN! THANK YOU LORD FOR THE BLESSINGS!