16 October 2012

KWELI ULEVI NI AIBU TUPU







HIVI KWANI LAZIMA MTU UNYWE MPAKA UJIAIBISHE HIVI JAMANI?

HAWA NI WANAFUNZI WAKIFURAHIA USIKU WAO WA ULEVI - U.K




Source: The Sun; 16/10/2012














09 October 2012

WAREMBO WA CODE:MILABE WAMESHAANZA KUPENDEZA






Kweli kuna watu wamepungukiwa kiasi fulani jamani duuh!



Jamaa hapo chini aka-post picha akitishia kukapiga risasi 

hako ka-mbwa kisa kalifanya mambo makubwa kitandani 

kwake. Halafu aka post hiyo picha kwenye twitter.



The prankster posted a photo on Twitter of him holding a gun to the yorkie-mix puppy's head 

after she "pooped" in his bed.

Bam told his 800,000 followers: "Penny pooped in my bed. Not too fond of that. If it happens 

again, Penny goes Bye Byes!"

The tweet provoked outrage among Bam's creature-loving fans and drew criticism from animal 

rights groups worried he would carry out his threat.

Rich Britton, spokesman for The Society for Prevention of Cruelty to Animals in Chester 

County, Philadelphia, was not impressed: "It's not funny. He has missed the mark on this one."

The red-faced star was forced to invite news crews into his Pennsylvania home so he could 

apologies and show the world he's not cruel to his pets.








KAHAWA KWA AJILI YA WATU WOTEEE!


ORGANOGOLD COFFEE

1.    ni 100% organic ganordema

2.    inaongeza nguvu za aina zote (wanawake na wanaume)
3.    inaoxygenates
4.    inasupport circulation
5.    support more quality sleep
6.    support natural body detoxification
7.    promotes health and longevity
8.     inasaidia baridi (yabisi)
9      inapunguza mafuta mwilini
        na mengine mengi, 

Hata wale wasiotakiwa  kunywa kahawa, hii wanakunywa. 
kuna sachet ya 1,500/- na 3,000/-. Kwa wale watakaopendelea box zima ni sh 45,000/-. kuna lenye sachet 22, 15, na 30. 

Kwa wale wanapenda kuijaribu kuna sachet pia kwa ajili ya majaribio , na CD pia ukitaka kusikia from horses mouth mambo ya hii kahawa ya ukwee!

Kwa maelezo zaidi wasiliana na No. 0789690416  na 0715557974

29 September 2012

MY COUSIN'S WEDDING


TULIPENDEZAJE SASA? ACHA TUUU!





KWA UZURI TU SHOGA YANGU, UMEBARIKIWA!!! YOU WERE A NATURAL PRINCESS


YES LOVE IS A BEAUTIFUL THING THAT GOD GAVE US FOR FREE!!! BLESS!!!!

18 September 2012

MY BEAUTIFUL COUSIN KITCHEN PARTY


BASI NIMEFIKA TU NA KUPAMBANA NA KITCHEN PARTY YA COUSIN WANGU, AS HER MATRON.


ALIPENDEZAJE SASAAA?


MWANAMKE JICHOOO! AINT SHE JUST SOOO BEAUTIFUL? NAKUOMBEA HERI NA BARAKA ZOTE COUSIN, MUNGU AKAKUTANGULIE KATIKA MAISHA YAKO UTAKAYOANZA SOON NA MUME WAKO MPENZI.

17 September 2012

MESSAGE KWA WATEJA WANGU WAPENDWA!




HELLO WAPENDWA WATEJA WA CODE:MILABE,
POLENI KWA UKIMYA!!! NILISAFIRI KWA AJILI YA KULETA MALI MPYA. KAMA MNAVYOONA NYUMA YANGU, NA KAMA KAWAIDA YANGU NIMELETA VITU VICHACHE TU, FIRST COME FIRST SERVED.
SOOOON KUTAKUWA TENA NA MAMBO YA UKWELI. NITAWAJULISHA VERY VERY SOOON! OTHERWISE KARIBUNI SANA DUKA LITAKUWA OPEN FROM TOMORROW.


WITH MY MUM, MY BUSINESS PATNER AND MY BEST FRIEND. LOVE YOU MAMA!


ME, MUM, AND MY BABY BROTHER. WAS GREAT FUN! THANK YOU LORD FOR THE BLESSINGS!