MGENI RASMI MAMA RITA MLAKI
BI. JOYCE KIRIA AKIWASALIMIA WAGENI
BI.ANGELA BONDO AKIWASALIMIA WAGENI
BI. JOYCE KIRIA AKITOA SPEECH
BI.ANGELA BONDO AKIWAELEZAAA
WANA KWEA WAKIRINGA NA CAKE YAO
WAGENI RASMI WAKIBURUDIKA
MWENYEKITI WA KWEA AKIKABIDHI ZAWADI KWA MMOJA WA WAKINA MAMA WALIOFANIKIWA BAADA YA KUPATA MATATIZO MENGI KIMAISHA.
TREASURER WA KWEA MY BEAUTIFUL INTELLIGENT YOUNG SISTER MRS.DOREEN YOEN MIOMBO, AKA DOREEN ONASSIS AKIKABIDHI ZAWADI KWA MAMA ALIYEWEZA KUFANIKIWA KIMASIHA BAADA YA MAPAMBANO MAZITO. (LOVE YOU SANA MAMA!)
WANA KWEA WAKIJIMWAGA NA MSOSI
CAKE YA KWEA, MAMBO YA LADIES TALK! NDIO MAANA YAKE! ULIKUWA USIKU WA LADIES ONLY JIJINI MWANZA (ROCK CITY)
MAMA RITA MLAKI AKIKATA CAKE
WANA KWEA WAKIJIMWAGA, WALIPENDEZAJEE!
WAGENI WAALIKWA WAKIJIMWAGA NA MSOSI WAKUTOSHA
BI. DADA KUTOKA NAMIBIA AKIWAFANYIA MAMBO YA BELLY DANCING!
AHSANTE MAMAAA!
KWEA : NI GROUP YA YOUNG WOMEN WA MWANZA WALIOAMUA KUJIUNGA KWA AJILI YA KUSAIDIA KULETA ELIMU KWA WANAWAKE KATIKA KUPAMBANA NA MFUMO DUME NA KUSAIDIANA KATIKA KUFANIKISHA MAENDELEO YAO. HONGERENI SANA WAPENDWA!