Mama Rosa Parks kushoto, na Barack Obama. Mama huyu aligoma shuka kwenye basi la Montgomery - Marekani, lililokuwa linatumiwa na watu weupetu enzi hizo za ubaguzi wa hali ya juu na kupelekea kubadilishwa kwa sheria za kutumia Public transports bila kujali rangi.
No comments:
Post a Comment