Angetaka kuona mjukuu basi angetuliza asingejipeleka kwa Dodi Al fayed, sisi waingereza hatukubali ku-share chakula cha Ma-princess wetu na waarabu...Mwikooo!! Ingawa inauma ila ilibidi tuuu tumwaishe kwa Baba wa Mbinguni kuficha aibu. A'way..akapumzike kwa amani.
Angetaka kuona mjukuu basi angetuliza asingejipeleka kwa Dodi Al fayed, sisi waingereza hatukubali ku-share chakula cha Ma-princess wetu na waarabu...Mwikooo!!
ReplyDeleteIngawa inauma ila ilibidi tuuu tumwaishe kwa Baba wa Mbinguni kuficha aibu.
A'way..akapumzike kwa amani.
Huo ndio ubaguzi wenyewe huo!!! halafu tunadai wote ni watoto wa Mungu na tumeumbwa kwa mfano wake!!!
ReplyDelete