DUUUUH I'VE MISSED UPDATING MY BLOG, ILA JAMANI LEO NIMESIKITIKA SANA,
NIMESIKILZA CLOUDS FM, LEO TENA NIKASIKIA HABARI ZA BINTI WA MIAKA SABA KWENYE KIJIJI FULANI HUKO MWANZA. ALIVYO DANGANYWA NA SHILINGI MIA TANO TU NA MUENDESHA BAISKELI.
MTOTO AKAPANDA BAISKELI UMBALI UNAOSEMEKANA NI SAWA NA MAGOMENI MPAKA ILALA. ILA SASA ILIKUWA PORINI.
YULE SHETANI AKAMBAKA KINYUME NA MAUMBILE MTOTO MPAKA AKAZIMIA. HALAFU AKAMTOBOA MACHO YOTE, AKAONDOKA. MTOTO KUJA KUZINDUKA NI ALFAJIRI AKAJIKUTA HANA NGUO. NDIO KUJIKOKOTA KUAMKA NA KUTAFUTA NYUMBANI.
WALIOMUONA WAKAENDA KUWAJULISHA WAZAZI WAKE, BABA YAKE NDIO KATOKA MBIO KWENDA KUMBEBA MTOTO, KWAHIYO LEO NDIO KAPELEKWA BUGANDO HOSPITAL.
JAMANI HII KITU INAUMA SANA SANA, SIJUI BINADAMU TUMEKUWA NINI ??? HALAFU INASEMEKANA ALIMTOBOA MACHO ILI ASIWEZE KUMTAMBUA KWA SURA KWA AJILI YA POLISI. MAANA INAONEKANA KUWA MTOTO HAKUWA ANAMFAHAMU KWA JINA.
JAMANI WAZAZI TUNZENI WATOTO WENU, NA WATOTO WA WENGINE PIA. BINADAMU SASA WAMEWAZIDI WANYAMA.
No comments:
Post a Comment