SOOO GREEN AND BEAUTIFUL!!!
THE PLACE IS SOOO ROMANTIC AS WELL, SIO LAZIMA KWENDA PARIS!!!
MIGOMBA SASA HIVI INATOAJE NDIZI? HALAFU TAMU BALAA!
LOOK AT THAT MKUNGU WA NDIZI, WA MAANA
MBUZI WAMEJITULIZA, WAMEJISHIBIA ZAO!
HUYU MBUZI YEYE AKAAMUA KUSOGEA KARIBU KABISA ILIATOKEE VIZURI ZAIDI
KWA WALE WASIOJUA MACHINE YA KUSAGA KAHAWA, NDIO KAMA HII
KAHAWA IKIWA IMESHASAGWA VIZURI, TAYARI KWA KUIANIKA.
I WISH AND PRAY WAKULIMA WA TANZANIA KWA UJUMLA WASAIDIWE ZAIDI KATIKA KUWEZA KUPATA MASOKO YA KIMATAIFA. BIDHAA ZETU BADO NI NZURI SANA SANA!
Du safi sana, yaani umenikumbusha mbali sana, tulivyokuwa wadogo......Nimeipenda hii
ReplyDeleteYEAH, KWENDA NYUMBANI MARA MOJA MOJA KUNAFURAHISHA KWA KWELI
ReplyDelete