30 April 2012

Rape in South Africa
(Source Al Jazeera)

Currently there have been news on girls being raped, especially
Lesbians in S.Africa. Kwa kweli inatia huruma, maana ilikuwa inaelezwa kuwa girls are more likely to be raped in streets of S. Africa than to be educated. Can you imagine? Na lesbians kuwa raped ili kukumbushwa kuwa wao ni wanawake.
Je kama Tanzanian children and youth tunaliangaliaje au kufikiria vipi hili swala hata linapotokea hapa kwetu na kwenye mitaa yetu? Na hii si kwa watoto wa kike tu, hata kwa watoto wa kiume?

5 comments:

  1. Those who rape others, kwanza they have sick minds, ila kabla hatujafika kuwahukumu inabidi kwanza kuangalia wabakwaji wanakuwa kwenye mazingira gani....Mtu hawezi kubaka kama hayuko horny, mtu anakuwa horny then wakati huo huo anashindwa kupata tulizo, kifuatacho hapo ni kujibanza kwenye mitaa usiku kuangalia nani atapita ili amalize tamaa yake
    Yote hayo yanachangiwa na Elimu kwa jamii, kama Jamii ikielimika, na watu wakielimishwa madhara, wakapewa ajira itakayowawezesha kujipatia kipato, watakuwa busy na mambo ya maendeleo hawatawaza mambo yasiyo na maana.

    Serikali iweke Sheria kali kwa wabakaji kikiwepo kifungo cha Maisha au kunyongwa cause mtu anayebakwa anakuwa keshaharibiwa maisha na kila siku atakuwa akifikiria kitendo alichofanyiwa..ata lose confidence kwenye maisha na mambo mengi tu.

    Ubakaji haukubaliki hata kidogo...Nawakilisha!

    ReplyDelete
  2. kwakweli people are changing kuwa wanyama kabisa.Ubinadamu umepotea kabisaaaaaa.
    we need to pray hard kwa ajili ya serikali zetu na watu wote kwa ujumla.
    atakama kuwa lesbian si kitu kizuri, kuna njia nzuri ya kueleweshana.

    ReplyDelete
  3. I keep saying, and I hope to GOD someday kitaeleweka, we live whre Europe and th rest of the developed world lived fifty years ago, alakini we embrase all that is happening kwao. So we are 'washamba' ndani,but living in modern mazingira. That's so dangerous. Mifano.....gay na lesbians. As much as I reserve my own feelings towards them ( i am a bit exposed.....mening lived, worked , dined and pray in same house of worship with them....) i think we are not ready as Africans for making this public spectacles, like movies and open public about them.
    as for them being raped in SA, I think there is more to this story than what we read. Remember the UG story?
    Nawakilisha.....

    ReplyDelete
  4. Lakini kama wanaobakwa ni Lesbians.....hapo nafikiri wabakaji wanataka kuwafanya Lesbians watambue their true identity kuwa hata tabia ya kuwa Lesbian pia siyo nzuri, lakini Je Lesbians wanapenda kuwa Lesbians au wamejikuta tu kuwa ni Lesbians?? Inasemekana Lesbians wengi wamejikuta tu kuwa ni Lesbians....may be cause they were not gud with the opposite Sex before, so they decided to go with same sex sasa njia ya kuwasaidia ni kuwapa ushauri wa kujitambua ila siyo kwa kuwabaka.

    ReplyDelete
  5. Ni kweli, ubakaji haukubaliki hata kama nini, ndio hayo tunayasikia sasa mpaka doctor mzima anabaka mwanae, hivi ni akili au ugonjwa? saaaad! Si mmesikia yule mwanafunzi aliyekuwa anasomea udakatari Muhimbili alvyokuwa anambaka mwanae wa kiume?

    ReplyDelete