31 May 2013

WHICH BODY SHAPE IS YOUR MAN?




A BRICK, CUCUMBER, STRING BEAN, A PEAR, OR SNOW MAN?


Researchers have devised seven new body types for men, all shown here.

According to menswear retailer Jacamo, almost half of men reckon they’re a pear.

Here seven men strip off to talk about their bodies to CHRISTINA EARLE.




Body types





PEAR: A little bit larger around the middle.   (Man  Number 1) 


CUCUMBER: Straight up and down with no extra weight. (Man Number 2)


TOMATO: Slightly chubby all over. (Man number 3)


BRICK: Solid and broad all over. ( Man number 4)


NACHO: Slim waist, broad shoulders. (Man number 5)


STRING BEAN: Very skinny and lean. Man number 6)


SNOWMAN: Rounded at stomach and chest – a figure of eight shape. ( Man Number 7)






INTERESTING HUH!!!


28 May 2013

24 May 2013


Laana ya gesi

•  POLISI WAMPIGA RISASI MJAMZITO, WAIBA VITU


 UGUNDUZI wa gesi asilia mkoani Mtwara umegeuka laana kwa wakazi wake wanaoishi maisha ya wasiwasi hivi sasa.

Sauti za milio ya mabomu, risasi, na vipigo ndivyo vinavyonekana kushamiri zaidi kwenye mji huo uliosifika kwa amani na utulivu kwa muda mrefu.

Tanzania Daima lilishuhudia idadi kubwa ya askari polisi na wanajeshi wakiwa kwenye pikipiki na magari wakizunguka maeneo mbalimbali kwa lengo la kudhibiti vurugu.

Wakati hali ikizidi kuwa tete mkoani humo, jana polisi wanadaiwa kumuua kwa kumpiga risasi mjamzito aliyekuwa nyumbani kwake eneo la Magomeni.

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Ligula, Mohamedi Kodi amethibitisha kupokea mwili wa mjamzito huyo ukiwa na tundu tumboni, na hivyo kufanya idadi ya maiti zilizopokelewa hospitalini hapo kufikia mbili na majeruhi 18.

“Ni kweli kwa leo tumepokea maiti moja ya mwanamke ambaye ni mjamzito wa miezi saba, amepigwa risasi tumboni.
“Pia tumepokea mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Chuno, amevunjwa miguu yote kwa risasi,” alisema Dk. Ligula.

Habari ambazo Tanzania Daima ilizipata kutoka Mtwara jana, zilidai polisi walishiriki kuchoma moto nyumba tatu za wananchi katika eneo hilo na vibanda vya maduka kadhaa na kupora vitu vilivyomo ndani.

Chanzo kimoja kimedokeza kuwa maeneo ya Magomeni, Chikongola, Nkanaledi na Mikindani, askari walikuwa wakiingia kwenye nyumba za watu na kumkamata mtu yeyote hususan wanaume.

Taarifa zaidi zilieleza kuwa uhalifu uliofanywa na askari hao uliamsha hasira za wananchi jambo lililosababisha kutokea mapambano kati yao.

Baadhi ya vitu vinavyodaiwa kuibwa na askari hao kutoka kwenye maduka ni mchele, sukari, unga wa ngano na nguo.
Wakati polisi wakidaiwa kushiriki kwenye vitendo hivyo, huduma za kijamii zimesimama hali inayochangia mambo kuzidi kuwa tete ndani ya mkoa huo.

Wakizungumza na waandishi wa habari kwa nyakati tofauti, wakazi wa Mtwara wamelalamikia kitendo cha askari wa Jeshi la Polisi kuingia katika makazi yao, kuwapiga na kuwapora mali zao.

“Magomeni A hatuna amani, askari wanaingia majumbani mwetu, wanatupiga na kutunyang’anya simu, yaani huku Magomeni hatuna amani kabisa, tumepoteza watoto na hatujui hata waume zetu wako wapi,” alisema Paulina Idd.

“Majumba yetu yamechomwa moto wanaofanya fujo ni polisi wenyewe halafu wanakuja wanatubaka na kuiba mali zetu, tunateseka sisi, yaani tumechoka kabisa na serikali yenyewe,” aliongeza kusema.

Wakati wananchi wakilalamikia hali kutokuwa shwari, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara, Linus Sinzumwa alisema hali ni nzuri na kuwataka wakazi wake waendelee na shughuli zao kama kawaida.

Alipoulizwa kuhusu polisi kumuua mjamzito, kuchoma moto nyumba na kuiba vitu, kamanda huyo alikataa kuyazungumzia hayo kwa madai atapingana na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi.

Kamanda Sinzumwa alisema jana walimtarajia Waziri Nchimbi mkoani humo ili kuangalia hali ya mambo.


Wakazi wakimbia maeneo yao

Wakazi wa maeneo mbalimbali mjini Mtwara wamekimbia makazi yao hususani wanawake na watoto na kuhamia hospitali ya rufaa kwa kuhofia usalama wao huku wengi wao wakipotezana na ndugu zao.

Hali hiyo imetokea kufuatia kuwepo kwa milipuko ya mabomu katika maeneo mbalimbali mjini humo huku huduma za kijamii zikiwa bado zimesitishwa.



SOURCE: Mtanzania



INAKUWAJE UNAKULA MPAKA UNAFIKIA HAPA?


THIS GUY WAS ONLY 39 YEARS OLD

AMEISHIA KUFA KWA UZITO!




SOURCE: THE SUN

22 May 2013

BARACK OBAMA KUJA TANZANIA JULAI


Akizungumza na Mwananchi Jumapili Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni mchumi kitaaluma, amesema kuwa ujio wa Rais Obama unaweza kuleta neema hasa kama atakuwa ameambatana na wataalamu wa masuala ya maendeleo.
Hii itakuwa ziara ya pili ya Rais Obama katika Bara la Afrika.

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa ujio wa Rais Barack Obama wa Marekani nchini, ni fursa nyingine kwa Tanzania kukuza uchumi na kuimarisha uwekezaji.
Akizungumza na Mwananchi Jumapili Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni mchumi kitaaluma, amesema kuwa ujio wa Rais Obama unaweza kuleta neema hasa kama atakuwa ameambatana na wataalamu wa masuala ya maendeleo.
Hii itakuwa ziara ya pili ya Rais Obama katika Bara la Afrika.




SOURCE: MWANANCHI

HAAAA! WENZETU WAKO VERY CREATIVE!!



A PLUMBER goes for a quick whizz — on what could be the world’s fastest TOILET.



Colin Furze, 33, can reach 55mph on the loo, which has a 140cc engine under the 

seat and somewhere to perch his copy of The Sun.


Colin, from Stamford, Lincs, built it in a month for a laugh but admitted: “It’s scary to 

drive. I get wet when I go over any bumps.”






HAPA HUCHELEWI MAHALI, NI FASTER NA CHOO CHAKO!! HUKU UNASOMA NA GAZETI


SHARON STONE AT 55


I LOVEEEE THIS MAMA! SHE'S GREAT AS AN ACTRESS BUT SO BEAUTIFUL PIA


I HOPE AND PRAY BY THE TIME I'M AT THIS AGE, I STILL LOOK GOOD TOO! DAMN!!!





SHARON STONE ENZI HIZO, ALIKUWA MATATAAA!!!

19 May 2013

MAUAJI YALIYOTOKEA AMBROSIA PUB MBEZI BEACH


MAREHEMU AYOUB MLAY NA MTOTO WAKE


THIS IS ONE OF THE VERY SAD AND TRAGIC SITUATION TO HAPPEN.

HUYU KAKA PICHANI ALIUAWA JUZI IJUMAA USIKU, TAREHE 17/05/2013 AMBROSIA PUB MBEZI BEACH DAR. SITAANDIKA SABABU NILIZOZISOMA KWENYE BLOG ZINGINE MAANA WANAOJUA UKWELI NI WALIOKUWEPO NA HASWA MUHUSIKA MWENYEWE ALIYEFANYA HILI. ILA NAKUMBUKA TUKIPITA NA MUME WANGU KWENYE SAA SITA TUKIRUDI NYUMBANI NA TUKATAKA KUINGIA FOR DISCO, HALAFU TUKAAMUA IT IS NOT WORTH IT.


JAMANI HII FASHION YA KUMILIKI SILAHA WANAUME WAKITANZANIA SIKU HIZI IMETOKA WAPI? NA KWANINI TUNAIGA HIVI JAMANI VITU AMBAVYO WAZUNGU WENYEWE WANALIA NA KUOMBA KILA SIKU VIONDOKE HUKO KWAO? MAANA ZINAMALIZA MPAKA WATOTO WAO MASHULENI?

NA KWANINI SILAHA ZINATOLEWA OVYO TU SASA HIVI BILA HATA WATU KUPIMWA AKILI NA UWEZO WA KUZIMILIKI? 

MUNGU ATUSAIDIE TUKUMBUKE NA KUENDELEA KUTAMANI AMANI NA UPENDO ULIOKUWEPO KATIKA NCHI YETU. BADO NA AMINI MAENDELEO SIO LAZIMA YAJE KWA KUPIGANA MABOMU NA KURUSHIANA RISASI. UPENDO UMEKWENDA WAPI TANZANIA?




PICTURE FROM JAMII FORUM




18 May 2013

PREGNANT KIM K ON HIGH HEELS


Kweli bibie anapenda fashion, duuuh!!!!


Kim Kardashian refuses to let her swollen feet get in the way of fashion – pressing 


them into perspex stilettos way too tight for her puffy tootsies.



The pregnant star’s feet bulged over the clear strap across the span, leaving a 

painful-looking bulge between the arches and her ankles.


The ankle strap on the high heels was also too tight, cutting into Kim’s flesh.


But the mum-to-be, who looked otherwise stylish in her white dress with caped 

sleeves 

seemed determined not to show any discomfort, strutting through Beverly Hills with 

her mum Kris Jenner.




Source: The Sun




WARAKA WA ANTI VIRUS KWENDA KWA RUGE NA KUSAGA - CLOUDS


ANTiVIRUS DAWA YA Virus WA Hiphop in Tanzania

WARAKA NAMBA 1(ZIPO 88) KILA WIKI UTAPATA WARAKA MMOJA

Ni wazi na dhahiri kabisa kesi iliofunguliwa mahakamani dhidi ya Lady JayDee haina maana yoyote isipokuwa ni hofu ya mafisadi wa muziki nchini (Kusaga na Ruge) kwa kuwa waraka wa pili ulikuwa utoke tar 15 may na mwingine tar 17 may mwaka huu wa 2013.
Hapa la kujiuliza ni juu ya interview ya Rugen a kinachoendelea sasa,eti suala limefika mahakamani,kweli Kusaga na Ruge mmeweza kuthibitisha nyie ni mafisadi na mnamuaibisha Rais Kikwete ambaye nina uhakika anajua kuwa nyie ndio kikwazo kikubwa na hata Bungeni alishawahi kuzungumza kuwa alitoa studio na pango kumbe tatizo sio hilo,tujiulize wote kuna nini wanachoficha hadi kumtafutia kesi raia mwema asie na hatia?
Tena anaejitafutia rizki ambayo wao wanapigana nayo kwa kumkandamiza?
Huku wakitumia mabavu wakilindwa na baadhi ya viongozi wa serikali na waandishi ambao majina yao mtayapata kupitia nyaraka zinazokuja (zipo 88) na huu ndio wa kwanza.
Nimesikitika sana na njia pekee ya kuufahamisha umma juu ya ufisadi huu wa Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga ni kuyaanika yote ambayo jamii na Viongozi wa Serikali kama mlikuwa hamjui sasa ndio wakati muafaka wa kuwajua watu hawa ambao kila kukicha ni kuimarisha ufisadi wao na kujipendekeza kwa Viongozi sambamba na watoto wao (mtajua mpaka majina yao)

Naanza kupatwa na wasiwasi nikijiuliza, endapo Lady JD angekuwa amegombana na msanii mwenzake mkubwa kama Prof Jay, Ray C au Juma Nature wanasiasa wangeingilia kati? Ni wazi wasingesogea kwa kuwa hakuna maslahi zaidi ya kuingilia mgogoro huu ambao hawataki jamii ijue maovu yao.

Napatwa mashaka jinsi wanasiasa wanavyolivalia njunga jambo binafsi
Kama hili na kulifanya ni la kiserikali basi tafuteni chanzo cha tatizo mjue ni sehemu gani sahihi ya kuanza kutatua kilichopo na sio kukimbilia kuunda vikao ambavyo naamini vimeshaitishwa vingi sana lakini hakuna kilichosaidia.
Wanasiasa badala ya kutafuta sababu zinazofanya wasanii wanalalamika mnakimbilia kutatua mgogoro wa Ruge na JD ili kusuluhisha mambo yasiendelee kuongelewa jamii ijue uovu wa mafisadi hawa.
Haitasaidia kwa sababu wanaojua maovu ya hawa mafisadi Rugen na Kusaga ni wasanii wengi wakubwa na watu wengine binafsi (kumbukeni waraka zipo 88)

Vijana mnaowategemea katika kampeni zenu na mnawaita Taifa la kesho, lakini mnakubali waendelee kukandamizwa na kunyanyasika huku wakizidi kuwaneemesha kina Ruge na Kusaga.
Tatizo mnalijua kaeni na wasanii wote wawaelezee matatizo yao, msikae na wasanii ambao wanaamrishwa na kina Ruge. Sikilizeni kilio cha wasanii wengine pia na itafutwe njia ya kupata maoni ya kila mmoja na kuachana na watu wengine ambao wanaendesha mtandao wa ufisadi chini ya kivuli cha Ruge (Said Fella na Babu Tale) ambao mtapata kujua kila kitu kuhusu ufisadi wao na kinachoendelea (kumbuka waraka zipo 88)

Ruge Mutahaba amekuwa ni tatizo na janga la Kitaifa katika tasnia ya muziki kwa ujumla, amekuwa akiwagawa wasanii kwa kutumia redio Clouds kwa vitisho vya kutopigiwa nyimbo, au kwa danganyio la kufanyiwa promotion mpaka kwenye magazeti endapo tu utakuwa chini ya bawa lake.
Wasanii wamekuwa hawalipwi vizuri ili waendelee kumtegemea fisadi huyu.
Kwani wasanii wote wangekuwa na kipato cha kuweza kusimama imara leo hii kauli kama ya Lady JD ingezungumzwa karibu na kila mwanabongoflava.

Fred Kavishe (fisadi mwingine) ambae anasimamia Kili music awards yuko bega kwa bega na Ruge kudanganya wananchi nani ni bora katika tuzo hizo ili kulinda maslahi yao binafsi.
Na wao huchagua wale wasanii ambao hawana sauti za kudai haki yao ili wawatumie kadri wanavyotaka.Tuzo za Kili ni uozo mtupu.Imefikia wakati basata itoe vibali kwa wadau wengine wa muziki (nako kuna ufisadi)wasio na interest binafsi na wasanii wao, kuendesha hizi shughuli ili kukuza muziki.Kutokuwepo na tuzo zingine kunasababisha ionekane kuwa basata nao wamo kwenye mgao wa mabepari hao wanaoua sanaa ya Tanzania

JINSI RUGE NA KUSAGA WANAVYOTAWALA
Njia anayoitumia Ruge na Kusaga iko wazi, wao wana redio na hapo hapo wana wasanii wao.Hivyo promotion inabidi wafanyie wasanii wao ambao ni waoga ili waweze kuwatumia bila wasanii hao kufanya fyoko fyoko.

Wasanii wengine ambao sio chini ya Clouds kwa kuwa hawana jinsi nyingine ya kupata hela inabidi wainyenyekee Clouds wakiamini ndio njia pekee ya kuwapatia vipato
Huku wakisubiri show moja ya fiesta ya kila mwaka.
Huko katika fiesta kuna wengine wanalipwa mpaka laki tatu na bado katika hiyo ili upangwe kwenye list ya kupanda jukwaani B12 nae lazima akate laki moja yake.
Hapo msanii anabakiwa na nini akirudi nyumbani?
Hivi laki tatu ni nini kwa maisha ya msanii?
Njia pekee ya kuwatawala ni kuwafanya waendelee kuwa maskini.
Leo hii mtangazaji wa redio ana sauti kuliko msanii.

Kwanini redio zingine hazilaumiwi? Ni kwa sababu hazijihusishi moja kwa moja na wasanii.Hilo ni kosa kubwa sana linalofanywa na Clouds au pengine ndio mtazamo wao walioamua kuufuata kwa sababu wanaamini Serikali ipo mikononi mwao.
Maisha na ajira za watoto wa watu ambao wengi hawajasoma wanategemea vipaji, mnayakatili bila huruma

Mwisho tumuombee Lady JD Mahakama imruhusu azungumze yote, kila mtu anataka kusikia sio siri Clouds, Ruge na Kusaga ni nyonya damu.
Mahakama itambue kuwa wanaojua maovu ya Rugen a Kusaga sio Lady JayDee pekee ni wengi mno na kama njia ya kukimbilia mahakamani ndio wameichagua basi ongezeni mahakama kwa kuwa tupo wengi tutakuja kuyaongea kuhusu mafisadi hawa wa Clouds (siku hizi wanaitwa wafu)




Source: KIJANA WA LEO BLOG

UGAIDI BUNGENI


*Wabunge waonywa, waambiwa wasipaki magari nje ya uzio
*Dk. Nchimbi asema ulinzi umeimarishwa kuliko kawai
da
BUNGE limekumbwa na wasiwasi, baada ya kuwapo tetesi za shambulio la kigaidi katika viwanja hivyo. Kutokana na hali hiyo, uongozi wa Bunge umechukua tahadhari kwa kuimarisha ulinzi katika jengo lote la Bunge pamoja na viunga vyake. 

Hofu hiyo ilizidi kutanda baada ya Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu, kutangaza hali hiyo juzi na kuwataka wabunge kuchukua tahadhari kuhusu usalama wa magari yao. Zungu alitoa tangazo hilo wakati wabunge wakiendelea na mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
“Waheshimiwa wabunge, wote mnaombwa kuanzia kesho (jana) kutoegesha magari yenu pembezoni mwa uzio unaozunguka ofisi za Bunge hapa Dodoma, badala yake, magari yaingizwe ndani ya uzio au yaegeshwe lango kuu upande wa barabara itokayo Dar es Salaam,” alisema Zungu kwa kifupi.

MTANZANIA ilifanikiwa kunasa ujumbe unaodaiwa ulitumika kusukuma ulinzi huo kuimarishwa, ambao unasomeka kama ifuatavyo.

“Kuna kikundi kina mkakati wa kufanya shambulio la bomu bungeni Dodoma na Msikiti wa Msamvu Morogoro ndani ya muda mfupi wakati vikao vya Bunge vikiendelea. NB: Muhimu Serikali kuchukua tahadhari haraka by raia mwema,” ulisema ujumbe huo.




Source:  Mtanzania; by Khamis Mkhotya

MY SISTERS FROM OTHER MOTHERS



lADIES!!! IT IS ALWAYS FUN BEING AROUND YOU, SANA SANA! HUWA NI FULL UMBEA NA KUCHAMBANA TUUUU! IT IS ALWAYS LIKE THE SAME OLD DAYS ZA SHULE. LOVE YOU SANA!

16 May 2013

LIFE IS VERY INTERESTING, mmmmh!


WENGINE WANAFUMANIA WANAWAKE WENZAO, WENGINE WANAFUMANIA WAUME ZAO NA WANAUME WENGINE. DUNIA HII!!!!



Wakati wakitoa maelezo kwenye kituo cha polisi, mwanaume aliyekuwa na baba Salome alijitambulisha kwa jina la  Julius Mwita, mkazi wa Devi’s Corner ana  mke na watoto wawili na aliwaomba sana mapaparazi wamhifadhi kwani wakwe zake wakimuona ‘itakula  kwake’.
“Jamani mapaparazi nipo tayari kwa lolote naomba sana tuyamalize hapahapa, mimi ni mume wa mtu, wakwe zangu wananiheshimu na kunithamini sana,” alisema Mwita.    
Hata hivyo, pamoja na kilio hicho mwanaume huyo aliishia kuswekwa lupango na baadaye kuhamishiwa katika Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kwa hatua zaidi.



MKE ANAMPAJE MUME MKONG'OTO!!!!




WAPAMBE SASA, mmmmh! ni tehe!



Huku mumewe na mwanaume mwenzake wakiwa hawana hili wala lile kule chumbani, mlango ulisukumwa na kufunguka ambapo mwanamke huyo aliwakuta wawili hao wakiwa wameshavua baadhi ya nguo. Wote walishtuka kuona wameingiliwa! 

“Yaani roho inauma sana, sijui ni kitu gani umekosa kwangu mpaka unakuja kwa mwanaume mwenzako jamani baba Salome,” alisema huku akilia mama Salome.



Source: Global Publishers


ALIISHI KWA SIKU 17 AKILA BISCUIT NA MAJI


DHAKA, Bangladesh Msichana aliyenusurika baada ya kuishi kwa siku 17 chini ya kifusi cha ghorofa lililoporomoka mjini Dhaka, Bangladesh, amesema biskuti alizonunua kwa ajili ya kifungua kinywa akiwa kazini ndizo zilimnusuru kufa kwa njaa.
Reshma Begum aliishangaza dunia baada ya kuokolewa chini ya kifusi cha jengo hilo, lililoporomoka Aprili 24, mwaka huu na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000.watu zaidi ya 2,500 waliokolewa kati ya watu zaidi ya 3,000 ambao walikuwa wakifanya kazi ndani ya jengo hilo la ghorofa nane.
Msichana huyo ambaye hakuwa na majeraha ya kuhatarisha maisha yake, alisimulia mkasa wake kwamba aliishi kwa kula biskuti na kunywa maji ya chupa yaliyodondoka kwenye eneo lake, bila kufahamu yalikotoka.
Reshma (19) alisema siku ya ajali hiyo, aliamka asubuhi kuwahi kazini bila kupata kifungua kinywa ambapo akiwa njiani alinunua mabunda madogo manne ya biskuti ambazo angekula kabla ya kuanza kazi.

sOURCE: MWANANCHI




LADY, ARE YOU CONFIDENT WHEN NAKED??


SIX out of ten women in the UK are repulsed by the sight of their own naked bodies – 


but not THESE six.




They dared to bare – and be judged on their look – and talked openly about their 

bodies.


Most women are embarrassed even for their own partner to see them naked.


The survey of 5,000 women, commissioned by REAL magazine, found that 91% of 

women were unhappy with their hips and thighs, 77% were dissatisfied with their 

waist and 78% said they had cellulite.

Three-quarters of British women were unhappy with their shape, 71% with their weight and six out of 10 said their body image made them feel depressed.

Some 65% of those surveyed felt their life would improve considerably if they were happy with their body.

The women who took part in the survey had an average age of 33 and more than half fell within normal weight limits for their height.

But 84% of those who were of normal weight wished they were slimmer, by an average of nine pounds.

Some 68% blamed their body obsession and insecurities on other women who they said were most likely to criticise their looks and shape.

Sian Rees, editor of REAL, said: "A woman's body shape dominates her whole life - it's a modern day obsession.

"One of the driving forces is that women are increasingly influenced by celebrities  who let's face it don't live a normal life - and it can make a cruel comparison for real women trying to juggle work and family."


Source: The Sun & Mail


I personaly think hakuna kiumbe kizuri duniani kama mwanawake;  inabidi tu tujipende, kula vizuri na kujali afya. 

Wanawake wengi wanajikatia tamaa sana maumbile yao,  wakati unavyojiependa kwanza ndivyo wengine watakupenda hivyo hivyo. Kwanza wanaume wanapenda mwanamke anaye jiamini, na mwenye tabia njema kuliko maumbile.


Mwili wa mwanamke hubadilika pia kutokana na hormones, kuwa na watoto na kunyonyesha. Hivi vyote ni baraka, na inaonyesha jinsi mwili wa mwanamke una majukumu makubwa. Hivyo wanaume wapendeni na ku-appreciate miili ya wake zenu.








HAD A WONDERFUL BIRTHDAY YESTERDAY, THANK U MY LORD FOR ALL THE BLESSINGS!


MY GOD IS ALWAYS AN AWE SOME GOD!!!!