16 May 2013

LIFE IS VERY INTERESTING, mmmmh!


WENGINE WANAFUMANIA WANAWAKE WENZAO, WENGINE WANAFUMANIA WAUME ZAO NA WANAUME WENGINE. DUNIA HII!!!!



Wakati wakitoa maelezo kwenye kituo cha polisi, mwanaume aliyekuwa na baba Salome alijitambulisha kwa jina la  Julius Mwita, mkazi wa Devi’s Corner ana  mke na watoto wawili na aliwaomba sana mapaparazi wamhifadhi kwani wakwe zake wakimuona ‘itakula  kwake’.
“Jamani mapaparazi nipo tayari kwa lolote naomba sana tuyamalize hapahapa, mimi ni mume wa mtu, wakwe zangu wananiheshimu na kunithamini sana,” alisema Mwita.    
Hata hivyo, pamoja na kilio hicho mwanaume huyo aliishia kuswekwa lupango na baadaye kuhamishiwa katika Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kwa hatua zaidi.



MKE ANAMPAJE MUME MKONG'OTO!!!!




WAPAMBE SASA, mmmmh! ni tehe!



Huku mumewe na mwanaume mwenzake wakiwa hawana hili wala lile kule chumbani, mlango ulisukumwa na kufunguka ambapo mwanamke huyo aliwakuta wawili hao wakiwa wameshavua baadhi ya nguo. Wote walishtuka kuona wameingiliwa! 

“Yaani roho inauma sana, sijui ni kitu gani umekosa kwangu mpaka unakuja kwa mwanaume mwenzako jamani baba Salome,” alisema huku akilia mama Salome.



Source: Global Publishers


No comments:

Post a Comment