01 November 2012

WABUNGE WAJADILI JUU YA KUDHARAULIKA KWA LUGHA YA KISWAHILI


MH. KOMBO HAMIS KOMBO, MH. EUGINE, MH. MARIAM SWABA PAMOJA NA WABUNGE WENGINE WASHIKILIA KIDEDEA LUGHA YA KISWAHILI.

 WASEMA LUGHA YA KISWAHILI IMEDHARAULIWA NA SISI WATANZANIA WENYEWE. WENZETU WA NCHI ZA JIRANI (KENYA, UGANDA) WANAENDELEA KUJIFUNZA LUGHA HII NA KUJIAMINI HADI KWENDA KUFUNDISHA NCHI ZA NJE LUGHA HII YETU YA KISWAHILI, JE SISI WATANZANIA TUKO WAPI KUCHUKUA NAFASI HIZI NA LUGHA NI YETU?

WAKEMEA PIA LUGHA YA KUCHANGANYA KISWAHILI NA KIINGEREZA, NA KUPENDEKEZA LUGHA YA KISWAHILI IFUNDISHWE TANGU UTOTO ILI TUSIWE WATUMWA WA LUGHA ZA WATU WENGINE.

WASEMA HAKUNA NCHI INAYOENDELEA KWA KUPENDA KUIGA LUGHA ZA NCHI NYINGINE. MFANO NCHI KAMA KOREA, CHINA, GERMAN N.K ZINATUMIA NA KUPENDA LUGHA ZAO NA ZINA MAFANIKIO MAKUBWA SANA.



SOURCE: T.B.C. 1/11/12



s

No comments:

Post a Comment