15 December 2014

“If you want your children to be intelligent, read them fairy tales. If you want them to be more intelligent, read them more fairy tales.” ― Albert Einstein

Ooooh how i have missed my blog,

Lakini nilikuwa busy kufanya uhamasishaji wa usomaji wa vitabu kwa watoto kwenye jamii zetu.
Kupenda kusoma ndio silaha kubwa ya maendeleo ya Taifa letu Tanznia. Kupenda kusoma ndio mwanzo wa kuondoa ujinga na umasikini katika jamii yetu. Ukipenda kusoma na kuchambua vitabu na maandiko kamwe hautadanganyika. Na utajua unako kwenda na nini la kufanya.




'Soma Kwanza Harakati Michungwani' Children club. My project under Soma Agency

No comments:

Post a Comment