19 March 2012

ELEGANT WEAR


Hey Ladies, karibuni sana CODE: MILABE
Please note: Ni vizuri kuja na kupima nguo, does’t matter size maana it all depends on the cutting and style ya dress. Unaweza kuona size ukadhani ni ndogo, kumbe ikakutosha au kuwa kubwa.





4 comments:

  1. Hongera saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana kwa mwanadada kama wewe umejitahidi sana. Big up tutakuja nimependa rings na brounches..

    ReplyDelete
  2. Ahsante sana , na karibu sana mpendwa!

    ReplyDelete
  3. Ungeweka na bei kama site za nje ya nchi wanavyofanya inakuwa inapendeza zaidi

    ReplyDelete
  4. Ahsante kwa ushauri mpendwa,tunalifanyia kazi.

    ReplyDelete