19 March 2012

ABOUT CODE: MILABE


CODE: MILABE was launched in 23rd July, 2011. The aim is to inspire fashion to all age groups especially women, The moto is “Dress Elegant, feel Confident”.
As time goes by you’ll also be able to view different stocks available at our shop for men. Men love looking good too, au vipi?

However,  CODE: MILABE blog  does not only offer a platform for discussion on fashion, but also educating each other as Tanzanian youth and Children  about issues that impact  us in  our societies.

Please feel free to comment and post what you believe will be a life changing opinion to others men and women reading your post.


The dress speaks for u, “ M elegant and Expensive”.   Size 8, 12 $ 14 available

Mapambo yapo!



Dresses




9 comments:

  1. iko artificial sana ungetuonyesha vilivyomo dukani tuone reality

    ReplyDelete
  2. hongera dada, hapo tupo pamoja. tutanunua. endelea kuleta vitu vya maana, yaani nguo zenye akili

    ReplyDelete
  3. Vipi kuhusu nguo za Kiume, twaweza kuziona? Nina harusi mbeleni ningependelea kufahamu atiii.....(Nilikuwa napita tu kwenye blog yako nikaona niulize tu)

    ReplyDelete
  4. Nguo za kiume zina kuja soooon, kwa sasa kuna mashat machache tu

    ReplyDelete
  5. kwakweli nguo ni nzuri, sasa kuna size ndogo pia?

    ReplyDelete
  6. Ahsante sana, yes size ndogo zipo na ni vizuri kuja kupima maana it depends on style na cutting. Size 6 and 8 na kuendelea zipo. Karbu sana.

    ReplyDelete
  7. Mie nasubiri hizo za kiume zije. Kwa sasa ngoja niangazeangaze taweza mpiga mtu na kitu cha zawadi hapo. Gift card si zipo?
    Keep it up!

    ReplyDelete
  8. Gift card utapata ukihitaji, karibu sana!

    ReplyDelete