15 July 2012

KUFANYA KAZI YA MUNGU


The Catholic church at Bagamoyo is beautiful, ni yale makanisa yaliyojengwa zamani sana wakati wa utumwa.


Waliokaa mbele ndio walikuwa wanajitayarisha kupokea Ushemasi, they are from Tanzania, Kenya, Uganda and Ethiopia


Waliokaa nyuma ya mashemasi ni mapadri from all over the world waliokuja kuwa wapa support


Mashemasi wakipata test ya kuona kama kweli they are realy ready kumtumikia Mungu




Wakikubali na kupokea nadhiri za maisha


My shemeji alikuwa mmoja wa hao six mashemasi. Tunakuombea heri na baraka katika kufanya kazi ya Mungu, na akakutangulie katika yote.

No comments:

Post a Comment