16 May 2014

WANAHARAKATI NGAZI YA JAMII WAKITOA TAMKO JUU YA BUDGET YA NCHI 2014/15





Je Budget mpya ina mnufaisha nani zaidi, ni wananchi wote kwa ujumla au ni baadhii tu? Na wanaoumia zaidi ni wakina nani katika jamii yetu kama kuna mapngufu yeyote katika budget hii? Je imeandaliwa kweli katika mlengo wa kuleta maendeleo katika jamii yetu na kunafaisha makundi yote katika jamii? Wanawake, wanaume, vijana, watoto, walemavu nk?

No comments:

Post a Comment