16 May 2014

WANAHARAKATI TANZANIA WATOA SUPPORT KWA WENZAO NIGERIA



Wanaharakati wakishirikiana na wanafunzi wakike Tanzania kutoa support kwa ajili ya kudai wanafunzi wenzao Nigeria kurudishwa kwenye familia zao. Maandamano hayo ya amani yakifuatiwa na majadiliano yalifanyika katika viwanja vya Mtandao wa Kijinsia TGNP - 15/5/2014.

No comments:

Post a Comment