15 August 2012

MUSWADA WA AFYA MAREKANI, NA MAANDIKO YA BIBLIA

JE NI KWELI KUWA IFIKAPO MWAKA 2013, WAMAREKANI WANATAKIWA WAWE NA CHIP KWA AJILI YA HUDUMA YA AFYA VICHWANI AU MKONONI (RFDI CHIP).

HII INATOKANA NA MUSWADA ULIOPITISHWA NA RAIS BARACK OBAMA, INGAWA INASEMEKANA KUWA MSWADA HUU TAYARI ULIKUWEPO HATA KABLA YA OBAMA KUINGIA MADARAKANI, LAKINI HAUKUWA TU UMEPITISHWA.

INASEMEKANA KUWA HII INAHUSISHWA NA MAANDIKO KUTOKA KITABU CHA DINI CHA KIKRISTO BIBLIA - UFUNUO 13: 16 -18 INAYOELEZA JUU YA CHAPA YA SHETANI.





SOMA ZAIDI KUHUSU NEW HEALTH CARE LAW IN AMERICA.

2 comments:

  1. Kwakweli inaogopesha na kusikitisha.
    inabidi tuwe waangalifu hasa.

    ReplyDelete
  2. Sasa ni wakati muafaka wa kung'ang'ana na Mungu wako. Hii meseji iwaendee wale wote wenye Imani ya kuwamini Mungu na Maandiko yake matakatifu. No kununua, No kuuza. Kitaeleweka tu nani wa Yesu na nani wa Shetani. Siku za mwisho Zimefika tayari, nadhani tarumbeta la yesu liko na malaika ambaye amevuta pumzi za kutosha ili alipulize kwa nguvu

    ReplyDelete