15 August 2012

WATOTO WANAPOWAANGUSHA WAZAZI


Huyu baba ni one of the biggest movie stars hollywood, kwa wale wapenda movies watakuwa wameangalia : Predators, The Matrix Revolution, Mission Impossible 3 etc. Ila mwanae kaamua kumuangusha na kuingia kwenye movie za adults instead. Sooo sad.

2 comments:

  1. Huyo mtoto kajiangusha.

    ReplyDelete
  2. hahaaa! ni kweli, as long as mzazi ameshafanya kazi yake. Ila watoto sio wakukatiwa tamaa, nikupigana nao hadi mwisho maana wametokea kwako kuja duniani.

    ReplyDelete