MWENYEKITI WA MGOMO WA MADAKTARI TANZANIA
MWENYEKITI WAMGOMO WA MADAKTARI TANZANIA, DR. STEVEN ULIMBOKA AMEKUTWA AMEJERUHIWA VIBAYA SANA. ALIKAMATWA JANA USIKU NA WATU WASIO JULIKANA. INASADIKIKA WALITAKA KUMUUA.
HIVI SASA YUKO HOSPITAL YA MUHIMBILI KWA AJILI YA CHECK UP YA KIPIMO M.R.I (MAGNETIC RESONANCE IMAGING).
AMEPELEKWA MUHIMBILI HOSPITAL SAA TANO ASUBUHI, NA ALIFIKISHWA HAPO AKIWA HANA FAHAMU.
INASEMEKANA ALIOKOTWA MAGWEPANDE MBEZI , BAADA YA KUCHUKULIWA NYUMBANI KWAKE USIKU WA SAA NANE.
AMEKUTWA AMENG'OLEWA KUCHA NA MENO.
SWALA HILI LINATOKEA BAADA YA MADAKTARI KUANZA TENA MGOMO.
No comments:
Post a Comment