26 June 2012

KAPU LA WATOTO WASIO HITAJIKA




Boxes where parents can leave an unwanted baby, common in medieval Europe, have been making a comeback over the last 10 years. Supporters say a heated box, monitored by nurses, is better for babies than abandonment on the street - but the UN says it violates the rights of the child.


mmmmmmh wenzetu jamani wako makini sana katika kujali afya za watu wao na jamii nzima. Sasa huku kwetu watoto wanatupwa kila leo, mara majalalani, mara vyooni, mara kwenye mito, yaani basi tuuu taabu! Inasikitisha sana sana, hawafikirii kama na wao wazazi wao wangewatupa wakiwa wadogo hivyo ingekuwaje? jamani wanawake tuwe na huruma jamaniii! unazaa kabisa halafu unarusha akiwa hai na mzima kabisa bila uchungu? Halafu unajiita mwanamke kwasababu una uwezo wa kuzaa? Hivi anayelea mtoto na kumtunza na hana uwezo wa kuzaa na mwenye uwezo wa kuzaa lakini anarusha barabarani nani mwanamke? TAFAKARIIII!

Hii hapa chini ni barua wakina mama wanayokuta humo kwenye kikapu cha kuweka mtoto. Hivi hapa kwetu hizi centre haziwezi anzishwa? Sio lazima ziwe za pesa nyingiii! mtu apeleke tu mtoto hapo bila kujulikana, ilimradi asiue.


Dear Mother of a foundling,
We realise that taking the step of giving away your child wasn't easy for you. Please be assured that we will take loving care of your baby to the best of our ability and as such will give him/her a good start in life. Also, the baby should be given a chance to live! Should you change your mind and want your baby back, you can come back to us with full trust. We will gladly help you and are pleased when mother and child are able to be together. Even if you don't, we will still help you with advice. Rest assured that you don't need to worry about the police looking for you. Call us. We are there for you.
Remember, one day your child will want to know at the very least the name of his/her mother. If you wish to leave this vital piece of information, we'll be glad to help.






2 comments:

  1. Kweli wanawake tubadilike tuache kutupa ovyo watoto wetu. Hivi kama mtu ulikuwa hutaki kulea kwanini ubebe mimba halafu baadae umtupe mtoto? Na wanaume nao waache kuwapa mimba wanawake na kuwatelekeza jamani. All in all mwanamke mwenye uwezo wa kuzaa ndio mwanamke whether ametupa mtoto au lah, ni mtazamo tu, umependeza na gauni lako

    ReplyDelete
  2. yeah, ni kweli kila mtu na mtizamo wake sio siri, hahahaa! I guess wasiokuwa na uwezo wa kuzaa sio wanawake but huwa wananipa raha wanavyo kuwa na uwezo wa kupenda na kutunza na kujali wana ambao hawa kuzaa wao, My love to all women with true love in their hearts, whether with children or not
    Ahsante kwa compliment ya gauni,karibu CODE: MILABE uje uchague lako mpendwa

    ReplyDelete