14 June 2012

WAREMBOOO!





4 comments:

  1. Mbona huwa huweki mavazi ya ofisini. halafu pia kila mara unaweka mavazi ya akina dada tu ya wa mama je? wababa je? viatu vikwapi?

    ReplyDelete
  2. AHSANTE MPENDWA, NITAWEKA YA OFISINI NA MENGINE SOOON!

    ReplyDelete
  3. na pia uwe unaweka kibongo bongo sana usituwekee sana kina beyonce, fanya iwe real hata ikiwezekana unaweza hata wewe mwenyewe ukavaa nguo ukapiga nazo picha angalau tuone uhalisi wa kitanzania mtu kazivaa kapendeza

    ReplyDelete
  4. Poa mpendwa, ahsante kwa ushauriii!

    ReplyDelete