SASA WAKATI UNARUDI TOKA MJINI, UKICHELEWA TUUU UKATOKA HUKO KUANZIA SAA KUMI JIONI, UNALOOO!
INGAWA KUFA KUFAANA, KAKA ZETU WAMACHINGA NDIO NJIA RAISI KWAO KUJIPATIA KIPATO CHAP! CHAP! HAPO HAKUNA CHA MKOPO, NI MAMBO YA CASH TU UNACHUKUA CHAKO.
No comments:
Post a Comment