02 May 2012


Wasting Our Minds

By PAUL KRUGMAN
Published: April 29, 2012

“In Spain, the unemployment rate among workers under 25 is more than 50 percent. In Ireland almost a third of the young are unemployed. Here in America, youth unemployment is “only” 16.5 percent, which is still terrible — but things could be worse.
And sure enough, many politicians are doing all they can to guarantee that things will, in fact, get worse. We’ve been hearing a lot about the war on women, which is real enough. But there’s also a war on the young, which is just as real even if it’s better disguised. And it’s doing immense harm, not just to the young, but to the nation’s future.”
(Opinion page, New York Times).

Nimesoma hii nikasema sasa kama wenzetu walioendelea wanalalamika hivi, sijui sie huku ndio tusemeje. Mbona tehe! Ukitaka kusoma more search kwenye New York Times net. Kazi kweli kweli.

4 comments:

  1. duuuuhhhhh??? kwakweli wenzetu wako into another level. yaani wako dissapointed na 16% unemployment? mbona wanatutukana?
    serikali yetu inabidi ifanye kazi kwakweli..

    not good at all...

    ReplyDelete
  2. Mie hata si semi najionea tuuu!

    ReplyDelete
  3. ehh kwa bado tuna long way to go mpaka tufikie hayo maendeleo

    ReplyDelete
  4. Kwani TZ hatuko chini ya 16%?? Wacha weweee, Wabongo hawapendi kujishughulisha wanakalia kucheza bao na Story za match za Mpira, ndiyo maana wageni wanakuja kwetu wanachukua ajira kama wamesimama, Wahenga walisema 'Ukiona wageni hawakatiki kwako ujue nyumba yako ina neema' TZ ina neema sana tu, resources za kutosha only ujinga wa Viongozi na Wa-TZ jinsi ya kuzitumia kuwanufaisha, ...Wacha wageni waje wazichukue zote, zikiisha isha ndiyo tutashtuka!!

    ReplyDelete