19 May 2012


Mama Rosa Parks kushoto, na Barack Obama.
Mama huyu aligoma shuka kwenye basi la Montgomery - Marekani, lililokuwa linatumiwa na watu weupe tu enzi hizo za ubaguzi wa hali ya juu na kupelekea kubadilishwa kwa sheria za kutumia Public transports bila kujali rangi.

No comments:

Post a Comment