28 May 2012

MILA NA DESTURI ZETU




Kwenda kijijini raha sana, hali ya hewa safiii, nyama choma tamuuu na ya uhakika, na ile pombe ya asili, wacha kabisaaa! Hamna kilicho chakachuliwa hapoooo! It's just sad kuona vijana wengi ambavyo tunasahau mila zetu au hatuzijui kabisaaa! Kisa maisha ya mjini. Vizazi vijazvyo vitajifunza nini au kurithi nini?

4 comments:

  1. Yeah ni vyema kuzienzi mila zetu, ila ungeweka hata picha yako tukuone ukiwa huko kijijini unashughulika ndio tungejua unazienzi mila ipasavyo, pia ni ushauri tu weka picha kwenye profile yako kama bloggers wenzako wanavyofanya at least people should know exactly how the owner of the blog look like. Ni mtazamo tu

    ReplyDelete
  2. Ahsante sana kwa maoni, nitafanyia huu ushauri kazi sooooon! Otherwise please visit CODE:MILABE and i'll be there.

    ReplyDelete
  3. kwakweli hamna raha kama kukaa kijijini..lol..

    ReplyDelete
  4. i agree with the first comment

    ReplyDelete