kwa kweli i admire this lady. hata mimi ningependa kuwa like her. she looks soo energetic and cofdent. Jamani wa dada wakibongo tukazane na mazoezi ili tuwe fit. Wenzetu they dont grow old coz of mazoezi. wabongo maranyingi tukishazaa basi tunajiachia tuu eti nimeshakua mama, NO, lets change that culture
Huyu Mwana mama KAPITWA kidogo sana na mke wangu kwa kuwa intelligent and beautiful, wallah tena wa kwangu ni zaidi, kama hamtaki si muache...bakini hivyo x2
Kumbe naye alikuwa nataka sitaki kwa Obama bwana...alidengua kidogo eti
-Her First impression of Obama wasn't great; after seeing a photo of him in the Law firm directory she decided he had a BIG NOSE
-She declined Barack's first invitations to go out on a date, saying it would be inappropriate.
-Her father and brother had always said, you could tell alot about someone's character on the court, so before agreeing to date Barack, she asked his brother to take him on the basketball court.
- Unaambiwa kwamba, Barack proposed at a Chicago restaurant and the Ring arrived on a tray with the desert...Mwenyewe kakubali..!!
-Mwishowe unaambiwa kwamba 'Michelle Obama, Hilary Clinton and Laura Bush are the only first ladies to receive master's degree'....Jiulize kati ya Marais wangapi wa USA waliopita??
kwa kweli i admire this lady. hata mimi ningependa kuwa like her. she looks soo energetic and cofdent. Jamani wa dada wakibongo tukazane na mazoezi ili tuwe fit. Wenzetu they dont grow old coz of mazoezi. wabongo maranyingi tukishazaa basi tunajiachia tuu eti nimeshakua mama, NO, lets change that culture
ReplyDeleteHuyu Mwana mama KAPITWA kidogo sana na mke wangu kwa kuwa intelligent and beautiful, wallah tena wa kwangu ni zaidi, kama hamtaki si muache...bakini hivyo x2
ReplyDelete..D... Nakukubali kinomaaaaaaaaa!!!
hahaaaa! aisee kaka umenifurahisha sana! kweli unampenda mkeo.
ReplyDeleteKumbe naye alikuwa nataka sitaki kwa Obama bwana...alidengua kidogo eti
ReplyDelete-Her First impression of Obama wasn't great; after seeing a photo of him in the Law firm directory she decided he had a BIG NOSE

Baba D.